Tuesday, January 3, 2017

JE WAJUA

JE WAJUA KWANINI KUNATOFAUTI YA UPANDE WA VIFUNGO KWA NGUO YA MWANAUME NA MWANAMKE?
kihistoria inasemekana zamani wanawake walikua wanavalishwa nguo na watu wengine hivo kutokana na watu wengi kutumia mkono wa kulia ili kupata urahisi wa kufunga vifungo vikawa vinawekwa upande wa kushoto ili mtu anaye mvalisha apate urahisi wa kufunga.pia wanaum kwa kuwa walikuwa wanavaa wenyewe ili wafunge vifungo kwa urahisi vifungo vikawekwa upande wa kulia.